- CHEZA MARA MOJA, ULIPWE KILA SIKU
1. CHEZA MARA MOJA, ULIPWE KILA SIKU.
Ukicheza katika modi ya:
CHEZA MARA MOJA, ULIPWE KILA SIKU. kwa kutumia dau lolote, na ukashinda kiasi chochote. Hiko kiasi ulichoshinda utalipwa kila siku hadi ambapo wewe mwenyewe utaamua kusitisha malipo ya tiketi husika na kutoa hela zilizokusanywa na tiketi hiyo.
MFANO:Ukicheza kwa dau la shilingi 10,000/=, ukashinda shilingi 3,000/=. Hii 3,000/= utakuwa unaongezewa kila siku kwenye tiketi yako, mpaka utakapositisha malipo na kutoa jumla ya kiasi ulichokuwa umekusanya kwa tiketi hiyo ya 10,000/=.
JINSI YA KUSITISHA MALIPO NA KUTOA KIASI ULICHOKUSANYA KWENYE TIKETI YA CHEZA MARA MOJA, ULIPWE KILA SIKU.Mbele kabisa ya tiketi husika, utaona button imeandikwa "
SITISHA MALIPO TOA KIASI HUSIKA". Bonyeza hiyo button na kiasi hiko kitaongezwa kwenye salio la akaunti yako papo hapo, na utaweza kutoa au kutumia kucheza tena.
VIPI KAMA NILISHACHEZA NIKASHINDA ALAFU NIKACHEZA TENA NIKAKOSA.
Ukishacheza ukashinda unaweza kuendelea kucheza mara nyingi utakavyoweza, na hata kama ikatokea kuna tiketi umekosa haitaadhiri tiketi zingine. Yani malipo yako ya kila siku kwa tiketi ulizoshinda yataendelea kama kawaida.